Mtaani raia husema, ‘ni noma sana’ , sasa ni hivi..! Pambano la watani wa jadi nchini Tanzania kati ya Simba na Yanga lazima lipate mshindi. Bila shaka huzuni na butwaa litawakumba mashabiki wa timu ...
Pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara linafunguliwa wiki hii huku Jumanne septemba 16 Wadau wa soka wanasubiri kwa hamu pambano la kukata na shoka litakalowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga.
'Tumeshinda lakini sijafurahia', mmoja wa mashabiki wa Simba SC ya Tanzania, baada ya kipyenga cha mwisho cha mchezo wao dhidi ya Stellenbosch FC katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la ...
Mtifuano wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara unaendelea leo Mei 5 kwa Mchezo mmoja katika hatua ya lala Salama Wekundu wa Msimbazi Simba wanakibarua kigumu ugenini dhidi ya Maafande JKT Tanzania. Simba ...