Kutembea ukiwa umelala ama Sleepwalking ni hali ambayo mtu anaendelea kufanya shughuli kama anazofanya akiwa macho lakini akiwa usingizini . Hali hii pia huitwa somnambulism kwa lugha ya kitaalam .
Watoto wengi walio umri sawa na wake hulilia asikrimu, wengine hutumia muda wao kutazama katuni na wengine kucheza nje lakini kwa Susanna Adjakie Apekor kwake mambo ni tofauti. Soma zaidi Susanna sasa ...
Pikipiki za bei nafuu nchini Uganda zimekuwa baraka na laana kwa mji mkuu wa Kampala. Zinatoa ajira kwa sehemu kubwa ya vijana wa taifa hilo, lakini pia zinatazamwa kama kero ya mjini katika mitaa ...
Mjini Kigali waendesha boda boda wanafurahia hatua kubwa iliyopigwa kwa usafiri wa pikipiki ama boda boda, zinazotumia umeme kwa kusafirisha wateja. Kuhusu utumiaji wa betri za umeme, Nkomeje Eric ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results