Kiasi gani ni kupita kiasi? Hilo ndilo swali ambalo wengi nchini India wanauliza huku sherehe za harusi ya mtoto wa kiume wa tajiri mkubwa zaidi barani Asia, ikiingia awamu ya mwisho. Sherehe hizo ...
Harusi ni mojawapo ya matukio muhimu katika jamii, ni siku ambayo wanandoa wanapenda ibaki katika kumbukumbu. Na kadri miaka inavyosonga, ndivyo sherehe za harusi zinavyozidi kuimarika na kukua.
Naibu Gavana wa mkoa huo Hassan al-Allaq, amethibitisha kuuawa kwa watu, na kueleza kuwa moto huo ulianza saa nne usiku siku ya Jumannne wakati wakiwa kwenye sherehe ya harusi. Kutokana na majeraha ...
Pete ni pambo livaliwalo na wanawake sana sana vidoleni ili kuleta umaridadi fulani. Hivyo basi, si wote walio na pete ambao huwa wameolewa. Wapo wanawake ambao wamekopa tabia ya kuvaa pete vidoleni.
"Kunyoza" ni sherehe ya harusi za waswahili ambayo ni maarufu sana katika kaunti ya Lamu, pwani ya Kenya. Ni sherehe ya wanaume inayofanana na ile ya waarabu ya kupaka hina iitwayo ‘Samar.’ Kiufupi ni ...