Ni wakati wa majira ya kipupwe asubuhi katika shule ya chekechea ya mafunzo ya Lugha ya Kihispania mjini London. Wazazi wanawasaidia watoto wao wadogo kuvaa kofia ngumu ili kuwakinga na ajali za ...
Ilikuwa mwaka 2021, nje ya pwani ya kusini-mashariki mwa Alaska, ambapo timu ya wanasayansi sita ilicheza rekodi ya sauti ya salamu kupitia spika iliyo chini ya maji. Walipigwa na butwaa walipogundua ...
Kila kukicha vijana wanazidi kuibuka na ubunifu katika sekta tofauti kwa kutumia teknolojia. Sauti Kitabu ni Programu mpya ambayo imeanzishwa, ikiwa ni jukwaa la simulizi za sauti kwa lugha ya ...
Maizi sarufi ya msingi! Tanakali sauti za kufurahisha zinapatikana. "Jifunze Kijapani"ni kipindi cha kujifunza lugha ya Kijapani kinachoandaliwa na Shirika la utangazaji la umma nchini Japani, NHK ...
AFungua ukurasa wa "Pakua". Fuata maelekezo katika ukurasa wa kupakua sauti na maandishi. Sauti na maandishi yanaweza pia kupakuliwa kutoka kwenye ukurasa wa somo. Huduma ya podcast kwa ajili ya sauti ...
Siku hii ilitangazwa mwaka 2021 na Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na utamaduni UNESCO ili kuthamini lugha hii inayozungumzwa na watu zaidi ya 200 duniani. Mbali na kuwa lugha ya taifa ...