Viongozi wa mila mkoani Mbeya wamewataka vijana kupuuza wito wa kuandamana na kufanya fujo unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii, wakisisitiza kuwa vitendo hivyo vina madhara makubwa kwa jamii na ...
Mwenge wa Uhuru umeendelea na mbio zake mkoani Mbeya, ambapo asubuhi ya leo umeingia katika Jiji la Mbeya, Halmashauri ya mwisho kukimbizwa mwenge huo kwa mwaka huu tangu ulipowashwa mapema mwaka huu.