Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa utaratibu wa misa zake ikiwemo kusitisha kupeana amani kwa mikono ili ...
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Prince Dube na kocha wake, Miloud Hamdi wamebeba tuzo za ubora za Ligi Kuu Bara mwezi Februari.
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza wajumbe watakaoshiriki mchakato wa kuwapigia kura watia nia wa ubunge na udiwani wa ...
Ingawa Mkoa wa Dodoma ndio makao makuu ya nchi, wakazi wake bado wanahesabika kuwa miongoni mwa watu maskini zaidi nchini, takwimu zinaonyesha.
Kamati ya Uongozi Taifa ya chama cha ACT Wazalendo imetangaza kutoshiriki vikao vya Baraza la Vyama vya Siasa vinavyoanza kesho Machi 12 hadi 13, 2025 huku kikitaja sababu tatu za kufikia ...
Wakati kukiwa na matukio ya watoto kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa kutokana na adhabu ya viboko, wito umetolewa kwa ...
Wataalamu wa misitu kutoka Russia wametembelea Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (Tafori), ambapo wamejadiliana mambo ...
Novemba 2017, Rais mtaafu wa Tanzania (2005-2015), Jakaya Kikwete, alisema vyama vya siasa vilivyo madarakani barani Afrika, ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Machi 14, 2025 kutoa uamuzi wa ama kumuondolea mashitaka na kumfutia kesi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya(33) au kuendelea na ...
Mwelekeo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2025/2026 imeonyesha ongezeko la asilimia 13, ikikua kutoka Sh50.29 trilioni katika ...
Wakati baadhi ya wasanii wa vichekesho wakitoa maudhui mbalimbali yanayohusu Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, wanazuoni wa dini ...
Simba imetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB baada ya leo, Jumanne Machi 11, 2025 kuibuka na ushindi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results