BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imewaonya wananchi wanaotumia fedha za kigeni ndani ya nchi kwa ajili ya huduma mbalimbali, kwamba kufanya hivyo ni kinyume cha sheria na hatua kali zitachukuliwa kwa ...
MSANII mkongwe wa Bongo Fleva, Haroun Rashidi maarufu kama Inspekta Haroun Babu, ameendelea kudhihirisha uimara na ubobezi wake katika muziki baada ya kuachia nyimbo mbili mpya zinazojulikana kama “AI ...
OFISA Elimu wa Wilaya ya Kusini Unguja, Mussa Nahodha Makame, amesema anashangazwa kuona baadhi ya wazazi na walezi mkoani humo kuzipa kipaumbele shughuli za harusi kuliko kufuatilia maendeleo ya ...
Miongoni mwa akaunti za wanaharakati mashuhuri zilizofungwa na ambazo zilikuwa na idadi kubwa ya wafuasi ni Pamoja na ile ya Instagram ya mwanaharakati anayeishi Marekani Mange Kimambi na Maria ...
Dunia inajiandaa kuadhimisha Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kuanzia tarehe 25 mwezi huu wa Novemba hadi tarehe 10 Disemba, kampeni inayolenga kuongeza uelewa na kutoa wito wa kuzuia na ...
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Tanzania yamelaani ripoti za mauaji ya kulipiza kisasi yaliofanywa dhidi ya raia, baadhi wakiwa katika makazi yao wakati wa machafuko ya baada ya uchaguzi.
Msemaji wa OHCHR, Seif Magango, akizungumza na Idhaa ya Kiswahili baada ya mazungumzo yake na waandishi wa habari mjini Geneva, Uswisi kwa njia ya video kutoka Nairobi, Kenya amesema, “taarifa za ...
"Mara nyingi njia ya mafanikio kwa msanii haipimwi kwa ukubwa wa jina lake, bali kwa nafasi ndogo inayomfungulia milango mikubwa baadaye." Ndivyo anavyosema Christian Jumanne Lunda Lunda (Chriss Lunda ...
DAR ES SALAAM: Kwaya ya Flying Family inayojumuisha waimbaji kutoka madhehebu mbalimbali ya kikristo wenye vipaji vya uimbaji imendaa tamasha maalum litakalowakutanisha Watanzania wakiwemo wadau wa ...