Rais Samia Suluhu Hassan amesema imani ya wananchi kwa Mahakama imeendelea kupanda kila mwaka na kwa mwaka 2024 imefikia asilimia 88. Ameyasema hayo leo jijini Dodoma katika uzinduzi wa jengo la Makao ...
Kituo cha Kimbilio Salama (Kimbilio Women Center) kilichopo chini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Morogoro, kimefanikiwa kuwaokoa wasichana takribani 89 waliokuwa ...