MSHAMBULIAJI wa Yanga, Prince Dube na kocha wake, Miloud Hamdi wamebeba tuzo za ubora za Ligi Kuu Bara mwezi Februari.
NDO hivyo bwana! Kitendo cha Simba 'kugomea' mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga kabla ya Bodi ya Ligi kubariki kwa kuahirisha bila kuzingatia kanuni za Ligi Kuu, kinaifanya timu hiyo ...
SIMBA imetinga hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho (FA) kufuatia kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya TMA Stars ...
HII ni kufuru. Manchester United itajenga uwanja mpya wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 100,000 wanaoketi, imeelezwa.
HII ni kufuru. Manchester United itajenga uwanja mpya wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 100,000 wanaoketi, imeelezwa.
JUMANNE, Machi 11 ilikuwa siku ya mwisho kwa kiungo Mfaransa Paul Pogba kutumikia adhabu ya kufungiwa soka na sasa, mkali ...
KOCHA wa Pamba Jiji, Fred Felix ‘Minziro’, amejikuta kwenye presha kubwa kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo katika mechi ...
BEKI wa kushoto raia wa Senegal, Cheick Sidibe amejiunga na klabu ya HJK Helsinki ya Finland akiwa mchezaji huru baada ya ...
NYOTA wanne wa Ligi Kuu Bara, akiwamo Duke Abuya wa Yanga na Elvis Rupia wa Singida Black Stars ni miongoni mwa wachezaji ...
PAUL Pogba ambaye adhabu yake ya kifungo cha kutocheza soka kinamalizika wiki hii, hadi sada bado hajafanya uamuzi wa wapi ...
Baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuufungia Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza kutumika kwa mechi mbalimbali ...
GUNDU la siku ya kuzaliwa dada yake Neymar limemkumba tena supastaa huyo wa Kibrazili ambapo kwa mara ya 10 fowadi huyo ...